Mtunzi: Alexander Francis Sitta
> Mfahamu Zaidi Alexander Francis Sitta
> Tazama Nyimbo nyingine za Alexander Francis Sitta
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Alexander Francis Sitta
Umepakuliwa mara 501 | Umetazamwa mara 2,425
Download Nota Download MidiBwana Yesu kweli amefufuka, njoni wote tuimbe aleluya, tufufuke pamoja na Kristu, njoni wote tuimbe aleluya Aleluya x2
Mabeti
1.Yesu mwokozi amefufuka kweli, tumwimbie Bwana wetu mshindi,tuimbe wote tuimbe wote aleluya
2. Ngu vu za shetani sasa ni bure tumekwisha kombolewa na Bwana, tuimbe wote tuimbe wote aleluya.
3. Yesu mwokozi karibu kwangu niaki nawe milele,tuimbe wote tuimbe wote aleluya
4.Nguvu za giza Yesu amezishinda tumwimbie Bwana kashinda mauti tuimbe wote tuimbe wote aleluya.