Mtunzi: Wicoki
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 380 | Umetazamwa mara 1,612
Download Nota Download Midi(Njoni wote tukamsujudie) Mwokozi Yesu amezaliwa tuimbe aleluya (Watu wote) tuimbe aleluya aleluya x2 {(Sasa) twende ndugu na zawadi zetu tukamwone Mwokozi Yesu amezaliwa tuimbe aleluya (Watu wote) tuimbe aleluya alelluya. x2}
1.Umetimia utabiri wa Manabii, ya kwamba atazaliwa kwetu Mkombozi wetu.
2.Kwa ajili yetu mtoto kazaliwa kwetu, Mwenye ufalme ufalme mabegani pake.
3.Watu wote Duniani kote tumshangilie, mtoto Emmanueli yani Mungu pamoja nasi.