Ingia / Jisajili

Njoo Bwana Akuita

Mtunzi: P. Mwanjonde

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Eusebius Joseph Mikongoti

Umepakuliwa mara 3,413 | Umetazamwa mara 7,172

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NJOO HAPA BWANA AKUITA (EE WADOGO WOTE)
 
1. Ee wadogo wote njoni kwangu mali yenu Mbinguni
    Atakaye pendo pendo langu awe sawa na mimi
 
Kiitikio:
Njoo hapa, njoo hapa Bwana Akuita
 
2. Neno hilo lako la zamani sema tena leo hii
    Wale wanaokukaribia Yesu uwabariki
 
3. Wanakuja kwako kwa karamu ya mwujiza na siri
    Wanaonja mkate mkate mtamu hostia ya Ekaristi
 
4. Nyoyo zao hao uzishike uziweke imara
    Kwako Bwana Yesu wapumzike nawe wawatawala
 
5. Wakusanye wote wakufuatao kuonana kule juu
    Mbele ya kikao chako Bwana wastahili tuzo kuu

Maoni - Toa Maoni

Abdallah Mwaselela Sep 28, 2023
Nyimbo nzuuuuliii yakutafakalisha

Toa Maoni yako hapa