Mtunzi: Faustin Komba
> Mfahamu Zaidi Faustin Komba
> Tazama Nyimbo nyingine za Faustin Komba
Makundi Nyimbo: Pentekoste
Umepakiwa na: Jophrey Mapunda
Umepakuliwa mara 2,797 | Umetazamwa mara 5,980
Download Nota Download MidiNjoo Roho Mtakatifu shusha mapaji, shusha mapaji niwe imara. (Karibu) *6 nuru ya mwanga wako ifikie moyoni mwangu.
Mashairi
1. Roho mwenye hekima shauri na nguvu, karibu ukae ndani ya Roho yangu.
2. Nipatie Elimu nikutambue, Karibu...
3. Nipatie ibada kukusifu wewe, Karibu...
4. Roho mwenye uchaji karibu kwangu, Karibu...