Mtunzi: Noelle Hulk
> Mfahamu Zaidi Noelle Hulk
> Tazama Nyimbo nyingine za Noelle Hulk
Makundi Nyimbo: Pentekoste
Umepakiwa na: Noelle Hulk
Umepakuliwa mara 12 | Umetazamwa mara 23
Download Nota Download MidiNjoo roho mtakatifu, wako shusha mapaji
roho wa Mungu njoo kwetu njoo (wa Mungu)X2.
1.Hekima nijalie, unipe akili Mungu nipe imani unipe nguvu.
2.Nieneze shauri, niwe mvumilivu njia nzuri nishike nione mwanga.
3.Elimu nijazie ibada niwashie uchaji nijalie roho wa Mungu.