Mtunzi: Michael Matai
> Mfahamu Zaidi Michael Matai
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Matai
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Michael Matai
Umepakuliwa mara 500 | Umetazamwa mara 1,963
Download NotaNjoni, sikieni ninyi nyote mnaomcha Mungu x 2 / Nami nitayatangaza aliyonitendea, nitayatangaza aliyonitendea Roho yangu x 2
1. Nalimwita kwa kinywa changu kinywa changu, na sifa kuu zilikuwa chini ya ulimi wangu, kama ningaliwaza maovu moyoni mwangu, Bwana asingesikia.
2. Hakika Mungu amesikia, ameisikia sauti ya maombi yangu, Na ahimidiwe Mungu asiyeyakataa maombi yangu, wala kuniondolea fadhili zake.