Ingia / Jisajili

Njooni Tuabudu Tusujudu

Mtunzi: Erick Kessy
> Mfahamu Zaidi Erick Kessy
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Kessy

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Isaya Simfukwee

Umepakuliwa mara 425 | Umetazamwa mara 593

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 5 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 5 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 5 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Njooni tuabudu njooni, Njooni tuabudu njooni tusujudu mbele za Bwana. Tupige magoti (tupige) mbele za Bwana aliyetuumba, kwa maana Bwana ndiye Mungu wetu.

Maoni - Toa Maoni

I.J.SIMFUKWE Jan 31, 2023
Wimbo mzuri sana huu mkuu hongera sana

Toa Maoni yako hapa