Ingia / Jisajili

Njooni Wote Tumshukuru Mungu

Mtunzi: Hosea Nengo
> Mfahamu Zaidi Hosea Nengo
> Tazama Nyimbo nyingine za Hosea Nengo

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: HOSEA LUKASI

Umepakuliwa mara 95 | Umetazamwa mara 131

Download Nota
Maneno ya wimbo
Njooni wote tumshukuru Mungu wetu wote njoni njoni×2 Ee Mungu wetu tunakushukuru Mungu wetu daima tutakushukuru Mungu wetu×2 Tunakushukuru kwa sababu wewe watupenda sana ee Mungu wetu×2 Beti 1. Unastahili tukushukuru wewe Mungu kwa sababu unatulibda Mungu unatujari bule twa shukuru. Ee Mungu. 2. Upendo wako ni waajabu wewe Mungu ulimtoa hadi mwanao Yesu atukomboe sisi twashukuru. Ee Mungu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa