Ingia / Jisajili

Nyimbo Tamu

Mtunzi: Ray Ufunguo
> Tazama Nyimbo nyingine za Ray Ufunguo

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: EDWARD LUCAS

Umepakuliwa mara 8,397 | Umetazamwa mara 10,193

Download Nota

Maoni - Toa Maoni

Anselme siwako Sep 02, 2024
Nataka nota za nyimbo ashukuriwe mwenyezi

Fraroby Jul 30, 2024
Kazi nzuri. Pakieni wimbo wa wewe ni mama pia Huyo ni Mungu. Itapendeza sana.

THADEY WILLA Jul 28, 2024
Saf kwaya yenu

Sylvester nicholaus lungwecha Mar 22, 2024
Hongereni sana kwa nyimbo nzuri na bora sana pakieni na wimbo wa ngome imara ili utufae pasaka hii

VINCENT JOHN SANDAY Mar 14, 2024
Hongera Kwa utume ,,mungu aendelee kuwatia nguvu, ili mkafanye kilicho chema zaidi

Martin z Dec 16, 2023
Kaz nzur , pakieni nota ya wimbo njoni tumwimbie

Edwin Wanambisi Dec 07, 2023
Hongera kwa kazi nzuri na nyimbo tamu,naomba mpakie pia nota za mkazae matunda mema na ashukuriwe mwenyezi ili pia zitufae

Anton nkuba Sep 10, 2023
Hongereni sana jamani

Anthony nkuba Sep 10, 2023
Hongereni sana jamani

Glory mtui Nov 15, 2022
Wimbo mzur Sana nimeupenda

winchislaus sevelin laulian Aug 25, 2022
mwenyezi mungu awabariki

Toa Maoni yako hapa