Mtunzi: Joseph Makoye
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Makoye
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Vusile Silonda
Umepakuliwa mara 13,473 | Umetazamwa mara 21,516
Download NotaBikira Maria, nyota ya bahari, utukinge nayo mawimbi yavumayo kasi x 2
1. Utuombee kwa mwanao, ili tuweze kuvuka bahari ya machafuko.
2. Mawimbi yanatuzidi mno, usituache tuzame uwe macho utulinde.
3. Sisi wasafiri twaomba, umulike njia yetu itufikishe mbinguni.