Ingia / Jisajili

Ole Wangu Mimi

Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA

Umepakuliwa mara 902 | Umetazamwa mara 3,461

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

AGUSTINE RUTTA

2010.

MWANZA

Ole wangu mimi nisipo hubiri Injili nikatangaze neno lako kwa mataifa . Nikashike kibuyu changu na fimbo na tena mimi nikaze Bwana huo mshipa wangu nazo kamba za viatu vyangu hivyo hivyo nianze kazi hivyo hivyo nianze kazi mawazo maneno na matendo ndiyo njia ya kumtangaza kristu.

1.     Ole wangu nisipomkiri kristu katika maisha ya hapa duniani.

2.     Niwe mfano wa kuigwa kwa jamii katika maneno nayo matendo yangu.

3.     Nitangaze upendo kwao jirani, nilete amani ulimwenguni pote.

4.     Penye chuki nikalete mapatano, palipo na giza nikailete nuru.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa