Mtunzi: M. B. Chuwa
> Tazama Nyimbo nyingine za M. B. Chuwa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 1,203 | Umetazamwa mara 4,204
Download Nota Download MidiOnjeni muone onjeni muone ya kuwa Bwana ni mwema x2
1. Nitamhimidi Bwana kila wakati sifa zake zikinywani mwangu daima
Katika Bwana nafsi yangu itajisifu wanyenyekevu wasikie wakafurahi
2. Mtukuzeni Bwana pamoja name natuliadhimishe jina lake pamoja
Nalimtafuta Bwana akanijibu akaniponya
3. Wakamwelekea macho wakati wa nuru ala nyuso zao hazitaona haya
Masikini huyu aliita akamwokoa na taabu zake zote