Mtunzi: M. B. Chuwa
> Tazama Nyimbo nyingine za M. B. Chuwa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 1,921 | Umetazamwa mara 6,518
Download Nota Download MidiOnjeni muone yakuwa Bwana yu mwema onjeni muone yakuwa Bwana yu mwema x2
1. Nitamhimidi Bwana kila wakati sifa zake zikinywani mwangu daima
2. Katika Bwana nafsi yangu itajisifu wanyenyekevu wasikie wakafurahi
3. Mtukuzeni Bwana pamoja name natuliadhimishe jina lake pamoja
4. Nalimtafuta Bwana akanijibu akaniponya