Mtunzi: Dr. Charles N. Kasuka
> Mfahamu Zaidi Dr. Charles N. Kasuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Charles N. Kasuka
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 339 | Umetazamwa mara 1,190
Download Nota Download MidiOnjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema, onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema x2
1.Nitamhimidi Bwana, kila Wakati sifa zake zikinywai mwangu daima.
2.Katika Bwana nafsi yangu, itajisifu, wanyenyekevu wasikie wakafurahi.
3.Mtukuzeni Bwana, pamoja nami, natuliadhimishe jina lake pamoja.
4.Nalimtauta Bwana, akanijibu, akaniponya na hofu zangu zote.
5.Wakamwelekea macho, wakati wa nuru, wala nyuso zao hazitaona haya.
6.Maskini huyu aliita, Bwana akasikia, akamwokoa na Taabu zake zote.