Ingia / Jisajili

Pandeni Milimani

Mtunzi: Clement I. P. Msungu
> Tazama Nyimbo nyingine za Clement I. P. Msungu

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 292 | Umetazamwa mara 549

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Pandeni milimani mkalete miti mkaijenge mkaijenge nyumba X2

Nami nitaifurahia nami nitaifurahia nami nitatukuzwa asema Bwana X2

1. Mlitazamia vingi kumbe vikatokea vichache tena mlivyovileta nyumbani mkavipeperusha mkavipeperusha

2. Ni kwa sababu gani asema Bwana wa majeshi ni kwa sababu ya nyumba yangu nyumba yangu inayokaa katika hali ya kuharibika wakati ambapo ninyi mnakimbilia kila mmoja nyumbani kwake

3. Haya shime waamini wote tutoe michango yetu tulijenge kanisa letu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa