Mtunzi: Cylirus Albert Kaijage
> Mfahamu Zaidi Cylirus Albert Kaijage
> Tazama Nyimbo nyingine za Cylirus Albert Kaijage
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Cylirus Kaijage
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 4
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 3 Mwaka C
Paza sauti, piga kelele. Maana Mtakatifu wa Israeli, ni mkuu kati yako.
1. Tazama Mungu ndiye wokovu wangu, nitatumaini wala sitaogopa. kwa maana Bwana ni nguvu zangu na wimbo wangu, naye amekuwa wokovu wangu.
2. Basi kwa furaha mtateka maji katika visima vya wokovu.
3. Mshukuruni Bwana liiteni jina lake, yatangazeni matendo yake kati ya mataifa, litajeni jina lake kuwa limetukuka.