Mtunzi: Julius Selestino Julius
> Mfahamu Zaidi Julius Selestino Julius
> Tazama Nyimbo nyingine za Julius Selestino Julius
Makundi Nyimbo: Pentekoste
Umepakiwa na: Julius Selestino
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 1
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Pentekoste
Pendo la Mungu limekwisha kumiminwa katika mioyo yetu , kwa roho wake anayekaa ndani yetu Aleluya.