Ingia / Jisajili

Pendo Lako Yesu

Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

PENDO LAKO  BWANA YESU

Pendo lako Bwana Yesu ni la ajabu, ulivyotupenda sisi, upeo

Ukajitoa chakula cha roho zetu, na pia ukajitoa, kinywaji

ili tule pia tunywe, Ee Yesu

1. Ulisema mwili wako, ni chakula, kutupatia uzima, milele


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa