Mtunzi: Francisy Mbilango
> Tazama Nyimbo nyingine za Francisy Mbilango
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 13,910 | Umetazamwa mara 21,362
Download Nota Download Midi1. Pendo langu ninakupa kwa sababu wewe Bwana wangu uliniumba x 2
Pendo, pendo langu pendo, pendo langu pendo, pendo langu (IV)
Pendo pendo pendo pendo pendo pendo langu (III)
Pendo Mmmh pendo Mmmh pendo pendo langu (II)
Pendo langu, nakupa pendo langu (I) x 2
2. Pendo langu ninakupa kwa sababu wewe Bwana wangu unanipenda x 2
3. Pendo langu ninakupa kwa sababu wewe Bwana wangu Mwokozi wangu x 2
4. Pendo langu ninakupa kwa sababu wewe Bwana wangu unanilinda x 2