Ingia / Jisajili

Pokea Baba Vipaji

Mtunzi: Shanel Komba
> Mfahamu Zaidi Shanel Komba
> Tazama Nyimbo nyingine za Shanel Komba

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Shanel Komba

Umepakuliwa mara 3,125 | Umetazamwa mara 8,601

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Pokea ee Baba vipaji vyetu hivi, vitakase Bwana uvibariki x 2

Mashairi:

  1. Fedha tunatoa, mikononi mwako, zitakase Bwana uzibariki 
  2. Mazao ya shamba, twayaleta kwako, yatakase Bwana uyabariki
  3. Mkate divai, tunaleta kwako, vitakase Bwana uvibariki
  4. Na sisi wenyewe, twajitoa kwako, tutakase Bwana utubariki
  5. Atukuzwe Baba, na Mwana na Roho, mwanzo hata sasa milele yote

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa