Ingia / Jisajili

Pokea Zawadi Zetu

Mtunzi: Joseph N. Kamau
> Mfahamu Zaidi Joseph N. Kamau

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Joseph Kamau

Umepakuliwa mara 619 | Umetazamwa mara 1,485

Download Nota
Maneno ya wimbo
1. Pokea zawadi zetu ee Baba Muumba wetu... Ee Mungu Mwenyezi kwa upendo wako ee (Baba) Kiitikio Bwana Mungu pokea sadaka yetu (Baba) Bwana Mungu pokea sadaka yetu 2. Pokea mavuno yetu, ee mfalme wa ulimwengu 3. Pokea na fedha zetu, ee Mungu wa mataifa 4. Pokea vipaji vyetu, ee Bwana Mtakatifu 5. Pokea mapato yetu, ee Mwenye kuumba vyote

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa