Ingia / Jisajili

PUMZIKO LA MILELE

Mtunzi: Frt. Jophrey Mapunda Isn
> Mfahamu Zaidi Frt. Jophrey Mapunda Isn
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Jophrey Mapunda Isn

Makundi Nyimbo: Mazishi

Umepakiwa na: Jophrey Mapunda

Umepakuliwa mara 676 | Umetazamwa mara 2,022

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

PUMZIKO LA MILELE

1. Ee Mungu Baba twakuomba, wajalie pumziko marehemu mapadre na waseminari wote waliokuwa matunda ya Seminari yetu.

2. Mtakatifu Augustino msimamizi wetu mwema, tuombee kwa Mungu awarehemu mapadre waliojitoa sadaka kutangaza Injili.

3. Bwana atoa naye atwaa, jina lake l'barikiwe (Libarikiwe). wape raha milele, mwanga waangazie wastarehe kwa amani wastarehe kwa amani.

Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa