Ingia / Jisajili

Rafiki Yesu

Mtunzi: Emanuel Lundera

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Lawrence Nyansago

Umepakuliwa mara 750 | Umetazamwa mara 3,476

Download Nota
Maneno ya wimbo

Rafiki yangu Bwana Yesu tegemeo langu ni wewe, siku zote za maisha yangu mimi na wewe tuungane x2

  1. Katika shida zangu wewe ndiwe kimbilio usiniache Bwana Mungu -wangu.
     
  2. Vishawishi ni vingi Bwana vinanikabili unipe nguvu Bwana nivishinde.
     
  3. Wewe ni kinga yangu mwamba na wokovu wangu matumaini yangu siku zote.
     
  4. Dunia ina shida dunia ina mateso uniongoze Bwana Yesu wangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa