Ingia / Jisajili

RAHA YA MILELE

Mtunzi: Maige, A.b Halili
> Mfahamu Zaidi Maige, A.b Halili
> Tazama Nyimbo nyingine za Maige, A.b Halili

Makundi Nyimbo: Mazishi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 281 | Umetazamwa mara 1,856

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Raha ya Milele (aione Baba yetu) pamoja na watakatifu wake. x2

  1. Apate kupumzika katika raha ya milele.
  2. Umsamehe makosa- yote mpe tu-lizo.
  3. Alivyokuto-lea Sadaka hapa Duniani.
  4. Kwa msaada wa Maombezi mama muo-mbee.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa