Ingia / Jisajili

Ee Mungu Unavyopendeza Leo

Mtunzi: François Tutu Makanga
> Mfahamu Zaidi François Tutu Makanga
> Tazama Nyimbo nyingine za François Tutu Makanga

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Miito | Mwanzo

Umepakiwa na: TUTU MAKANGA François

Umepakuliwa mara 24 | Umetazamwa mara 53

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Mungu unavyopendeza leo! Nikae nyumbani mwako, niuone uzuri wako; niongoze, nibariki niwe wako mille. 1. Leteni matoleo, ingieni katika wanja wake, mwangukieni Bwana mkivaa mavazi matakatifu, tetemekeni mbele yake ewe Dinia yote. 2. Bwana ni Mfalme, amevaa utukufu. Amekaza ulimwengu usitikisike kamwe, atawala mataifa kwa hali. 3. Njoni tumwinamie na tukamwangukie, tumpigie magoti Bwana ; Bwana aliyetuumba, kwani yeye ni Muumba wetu, Sisi ni watu wake. 4. Tumpigie Bwana kelele za furaha, tumshangilie mwamba wetu, mwamba wa wokovu wetu. Njoni tumshangilie Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa