Ingia / Jisajili

Roho Mtakatifu

Mtunzi: Andrew Santos
> Mfahamu Zaidi Andrew Santos
> Tazama Nyimbo nyingine za Andrew Santos

Makundi Nyimbo: Pentekoste | Utatu Mtakatifu

Umepakiwa na: Andrew Santos

Umepakuliwa mara 12 | Umetazamwa mara 10

Download Nota
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Roho mtakatifu karibuni mioyoni mwetu Ee mfariji tumiminie baraka zako katika maisha yetu. 1. Ee roho mtakatifu msimamizi wakanisa letu lilinde kanisa letu tuishi nawe milele yote . 2. Ee roho mtakatifu wewe ni mlinzi mlinzi wetu tunakuomba utulinde utulinde yule muovu shetani. 3.a.Ewe roho mtakatifu linda ma padre wetu uwajalie nguvu za kukutumikia wewe. b.Ewe roho mtakatifu walinde makatekista waeneze njili kwamataifa yote

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa