Mtunzi: Gaspar Mrema
> Mfahamu Zaidi Gaspar Mrema
> Tazama Nyimbo nyingine za Gaspar Mrema
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Ubatizo
Umepakiwa na: GASPER MREMA
Umepakuliwa mara 1,162 | Umetazamwa mara 2,213
Download Nota Download MidiROHO MTAKATIFU ALIONEKANA
Roho Mtakatifu, alionekana katika wingu linalong'aa, na sauti ya BABA ikasikika ikisema "Huyu ni mwanangu mpendwa wangu msikieni yeye"x2
1. Na wale wanafunzi waliposikia walianguka kifulifuli wakaogopa sana
2.Yesu akaja akawagusa, akasema inukeni wala msiogope
3. Petro akamwambia Yesu "Tujenge vibanda vitatu, kimoja chako, kimoja cha Musa na Kimoja cha Elia"