Ingia / Jisajili

Roho Mtakatifu Mungu

Mtunzi: Patrick Ingati
> Mfahamu Zaidi Patrick Ingati
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Ingati

Makundi Nyimbo: Pentekoste | Ndoa | Ubatizo

Umepakiwa na: patrick ingati

Umepakuliwa mara 251 | Umetazamwa mara 1,089

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
ROHO MTAKATIFU MUNGU. SOP & TEN: Roho Mtakatifu Mungu, CHOIR: Roho Mtakatifu Mungu njoo kwetu, Roho utupe mapaji yako, Mungu njoo kwetu. 1. Njoo Roho Mtakatifu, ili tusiangamie, utupe uvumilivu tuvishinde vishawishi. 2. Njoo Roho Mtakatifu, utujalie hekima, tuzijue njia zako ili tufike Mbinguni. 3. Njoo Roho Mtakatifu, utujalie upendo, ili tuwe Mwili mmoja jamii moja ya Kristu. 4. Katika maisha yetu, sisi twakukaribisha, manyumbani mwetu njoo kaa nasi siku zote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa