Ingia / Jisajili

ROHO NDIYO ITIAYO UZIMA

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Pasaka | Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 220 | Umetazamwa mara 580

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
ROHO NDIYO ITIAYO UZIMA Kiitikio: Roho ndiyo itiayo uzima, mwili haufai kitu, maneno hayo niliyowaambia ni roho, tena ni uzima2x 1.Sheria ya Bwana ni kamilifu huiburudisha nafsi , ushuhuda wa Bwana ni amini, humtia mjinga hekima. 2.Maagizo ya Bwana ni ya adili huufurahisha moyo, amri ya Bwana ni safi, huyatia macho nuru. 3.Kicho cha Bwana ni kitakatifu kinadumu milele, hukumu za Bwana ni kweli, zina haki kabisa. 4.Maneno ya kinywa changu na mawazo ya moyo wangu, yapate kibali mbele zako ee Bwana mwamba wangu na mwokozi wangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa