Ingia / Jisajili

Roho ya Bwana

Mtunzi: Dr. Charles N. Kasuka
> Mfahamu Zaidi Dr. Charles N. Kasuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Charles N. Kasuka

Makundi Nyimbo: Pentekoste

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 1,586 | Umetazamwa mara 3,892

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Roho ya Bwana, imeujaza imeujaza Ulimwengu x2

1.Imeviunganisha Viumbe vyote, hujua maana ya kila sauti ALELUYA.

2.Pendo la Mungu limekwisha kumiminwa, katika Mioyo na Roho Mtakatifu ALELUYA.

3.Na wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kunena kila Mmoja kwa LUGHA YAKE.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa