Ingia / Jisajili

Roho Ya Kristu Initakase

Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 904 | Umetazamwa mara 5,394

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

ROHO YA KRISTU - ANIMA CHRISTI

1. Roho ya Kristu initakase, mwili wa Kristu uniokoe,
damu ya Kristu inioshe, maji ya ubavu wa Kristu yaniburudishe.

2. Mateso ya Kristu, nguvu yanizidishie, Ee Yesu mwema uniokoe,
katika madonda yako unifiche, usikubali nitengwe nawe.

3. Na adui mwovu unikinge, saa ya kufa kwangu uniite, uniamuru (uniamuru) kwako nije, na watakatifu wako nikutukuze.

Amina amina Amina.


Maoni - Toa Maoni

Michael Jul 31, 2019
Pongezi mwalimu

Toa Maoni yako hapa