Mtunzi: Essau Ndababonye
> Mfahamu Zaidi Essau Ndababonye
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Ndababonye
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Pasaka
Umepakiwa na: ESSAU NDABABONYE
Umepakuliwa mara 418 | Umetazamwa mara 1,571
Download Nota Download MidiEe Mungu nijalie roho ya upendo,niweze kuwasamehe walokosea,Ee Yesu mfufuka ninaomba uniepushie kisasi,nijalie busara,hekima,nguvu,imani na ibada.
1.Maisha ya ndoa yananichanganya,nabii wa Kongo wananiyumbisha,nishike mkono uniongoze Bwana.
2.Dhambi nitendazo zinanikwamisha zinaniweka mbali na uso wako,njoo karibu yangu niinue Bwana.
3.Upendo na upole navyo vitumike kuwarekebisha walonikosea unipe moyo wa uvumilivu Mungu.