Ingia / Jisajili

Roho Yangu Yesu Inakutamani

Mtunzi: L. E. Rugambwa
> Tazama Nyimbo nyingine za L. E. Rugambwa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 3,305 | Umetazamwa mara 10,406

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Roho yangu Yesu wangu yakutamani sana njoo kwangu Bwana Yesu unipe here x 2

  1. Mwili wako Yesu ni chakula cha kweli, damu yako kinywaji cha kweli.
     
  2. Ninaona njaa pia naona kiu, nishibishe pia niburudishe.
     
  3. Unilishe Bwana kwa huo mwili wako, uninyweshe kwa hiyo damu yako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa