Mtunzi: Frt. Godfrey Masokola
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Godfrey Masokola
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Godfrey MASOKOLA
Umepakuliwa mara 1,482 | Umetazamwa mara 4,409
Download Nota Download MidiKiitikio. Ndiyo sadaka kuu, sadaka ya agano jipya, sadaka ya mwanao mpenzi
Mkate Mtakatifu na kikombo cha wokovu tunavyokutolea
1. Mikononi mwa Padre Ee Bwana upokee, sadaka safi isiyo na doa, (sadaka ya Kristo Mkombozi x2)
2. Dhabihu zetu ee Bwana upokee, uzibariki uzitakase, zikupendeze uzipokeex2
3.Vipaji vyetu ee Bwana upokee,viunganishwe na sadaka hii, vibariki u-vita-kase x 2
4. Kwa moyo safi Ee Bwana upokee, sala zetu tunazokutolea, zibariki Bwana tutakase x 2.