Ingia / Jisajili

Sadaka Ya Leo

Mtunzi: Julius James
> Mfahamu Zaidi Julius James
> Tazama Nyimbo nyingine za Julius James

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Julius James

Umepakuliwa mara 32 | Umetazamwa mara 37

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Sadaka ya leo ikupendeze e bwana tunakuomba, nimatokeo ya juhudi zetu. Ingawa haikidhi wema unaotujalia kila siku tunakuomba ibarikiki ili ipendeze machoni pako, tunakuomba itakase na uipokee.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa