Mtunzi: Dennis Keneth
> Mfahamu Zaidi Dennis Keneth
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Derick Nducha
Umepakuliwa mara 329 | Umetazamwa mara 1,295
Download Nota Download MidiHuu ndiyo wakati wakumtolea Bwana Mungu wako kwa Moyo uliopondeka kwa unyenyekevu
Mema pia Baraka nyingi Mungu kakujalia kwa wingi kwanini usimtolee sadaka ya shukurani?.
Mashairi
1.Mungu amekuumba pia akakupa nguvu, kwanini usimtolee sadaka ya shukurani?.
2.Nipo mabaya mangapi Mungu kakuepusha, kwanini usimtolee Sadaka ya shukurani?.
3.Mazao ya shamba ni Mungu kakujalia, kwanini usimtolee sadaka ya shukurani?.
4.Vyote ulivyonavyo vimetoka kwa Mungu, Kwanini usimtolee sadaka ya shukurani?.