Ingia / Jisajili

Sadaka Ya Sifa

Mtunzi: Baraka Daniel
> Mfahamu Zaidi Baraka Daniel

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Sadaka / Matoleo | Shukrani

Umepakiwa na: ERNEST MAGUNUS

Umepakuliwa mara 712 | Umetazamwa mara 2,144

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
  • SADAKA YA SIFA

    KIITIKIO:

    Kristo alijitoa sadaka ya msalabani, Nasi tumtolee sadaka ya sifa zake,

    Nikupe nini Bwana chakukupendeza wewe ×2. Pokea sifa Bwana Mungu wetu Bwana ×2

    MASHAIRI:

    1. Nchi  navyo vyote viijazavyo ni Mali yake Mwenyezi  Mungu twendeni wote tumtolee.
    2. Sadaka zakuteketezwa huku pendezwa nayo  twendeni wote tumtolee Mwenyezi Mungu atapokea.
    3. Sala na maombi yetu yote twendeni sote tumto Lee Mwenyezi Mungu atapokea.

Maoni - Toa Maoni

Ernest liapanga Dec 19, 2018
Hongera kwa kazi nzuri

Toa Maoni yako hapa