Ingia / Jisajili

Sadaka Yangu

Mtunzi: Godlove Mayazi
> Mfahamu Zaidi Godlove Mayazi
> Tazama Nyimbo nyingine za Godlove Mayazi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Godlove Mayazi

Umepakuliwa mara 192 | Umetazamwa mara 651

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio Sadaka yangu naileta kwako Baba Mungu upokee x2 Unayenipa vitu vyote Ni wewe pokea Sadaka yangu x2 Mashairi 1. Mkate na divai uvipokee vitakase baba Ni Mali yako 2. Sala yangu ipae mbele yako Kama Moshi wa ubani 3. Nafsi yangu pia upokee itakase baba iwe safi

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa