Mtunzi: Aquino Kipingi
> Mfahamu Zaidi Aquino Kipingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Aquino Kipingi
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Kelvin Tumaini
Umepakuliwa mara 200 | Umetazamwa mara 646
Download Nota Download Midi(Sadaka yangu naileta naileta) naleta kwako sadaka ya unyongea na ya shukrani*2
Itakase Baba tena i bariki uifanye iwe mali yako Ee Mungu wangu*2