Mtunzi: Joseph Mgallah
> Mfahamu Zaidi Joseph Mgallah
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Mgallah
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Joseph Mgallah
Umepakuliwa mara 2,078 | Umetazamwa mara 6,714
Download Nota Download MidiSadaka yangu naileta mbele yako, tazama naleta mikononi mwako, nakuomba ee Bwana ipokee ibariki iwe kama ya Abeli