Ingia / Jisajili

Sadaka Yangu Naleta

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 218 | Umetazamwa mara 756

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 33 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

{Sadaka yangu naletaX2, naileta kwako Bwana naomba uipokee.}x2

1. Ingawa ni kidogo - naomba uipokee

Naitoa kwa moyo - naomba uipokee

2. Mkate na divai -                  "

Ee Bwana twazileta -                "

3. Mavuno na mifugo -             "

Toka shambani mwetu -           "

4. Fedha nazo twaleta -            "

Kazi ya jasho letu -                    "

5. Nyoyo na nia zetu -                "

Furaha na uchungu -                 "

6. Shukrani zetu Bwana -         "

Hata na sala zetu -                     "


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa