Ingia / Jisajili

Sadaka Yetu Ya Leo Ikupendeze

Mtunzi: Fr. John Msamire
> Mfahamu Zaidi Fr. John Msamire
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. John Msamire

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: FR. JOHN MSAMIRE

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Sadaka Yetu ya Leo ikupendeze, Kama ile ya Abeli. x2

1 Mazao yetu ya mashambani, kazi ya mikono ya wanadamu, twakuomba Baba uyapokee.

2. Mkate wetu pia Divai, kazi ya wanadamu, twakuomba Baba uvipokee

3. Na nafsi zetu na nia zetu, maombi, sala na ibada yetu, twakuomba Baba uvipokee

4. Na fedha zetu za mifukoni, kazi ya mikono ya wanadamu, twakuomba Baba uvipokee.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa