Ingia / Jisajili

Sakramenti Kubwa Hiyo (Tantum Ergo Sacramentum)

Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 4,312 | Umetazamwa mara 11,376

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

SAKRAMENTI KUBWA HIYO

1. Sakramenti kubwa hiyo twaheshimu kifudi,
Na sheria ya zamani ikomeshwe na hiyo
//:Yafichikayo machoni, imani huyaona://

2. Mungu Baba, Mungu Mwana asifiwe kwa shangwe,
Kwa heshima atukuzwe pia aabudiwe
//:Mungu roho Mtakatifu vile sifa apate://

Amina, Amina.


Maoni - Toa Maoni

Sahaya G. Selvam Jul 16, 2018
Please note that the lyrics of Tantum Ergo come from St Thomas Acquinas, and not St Augustine. Pongezi kwa kazi hii nzuri ya kuweka nyimbo zote pamoja.

Honest Temu Oct 17, 2017
Ipo vizuri mm nimeipenda coz nilikuwa nahudhuria ibada ya baraka kila jumapili enzi ya utoto wangu

Honest Temu Oct 17, 2017
Ipo vizuri mm nimeipenda coz nilikuwa nahudhuria ibada ya baraka kila jumapili enzi ya utoto wangu

Toa Maoni yako hapa