Mtunzi: Rukeha, p.b.
> Mfahamu Zaidi Rukeha, p.b.
> Tazama Nyimbo nyingine za Rukeha, p.b.
Makundi Nyimbo: Misa | Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Pius Rukeha
Umepakuliwa mara 418 | Umetazamwa mara 2,155
Download Nota Download MidiEe Bwana sala yangu ipae mbele zako, ipae mbele zako kama uvumba, ee Bwana sala yangu ipae mbele zako, ipae mbele zako kama uvumba.
Na kuinuliwa mikono yangu kama dhabihu, kama dhabihu ya jioni.
Sala zetu ee Bwana zipae zikufikie, zikiwa mikononi mwa Malaika.