Mtunzi: Frt. D. Ntassima
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. D. Ntassima
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Joseph Isaya Mwakapila
Umepakuliwa mara 3,095 | Umetazamwa mara 8,722
Download Nota Download MidiKiitikio: Sala yangu, ipae mbele yako Bwana x 2. Kama moshi wa ubani:
Na kuinuliwa kwa mikono yangu, iwe kama sadaka ya jioni, ya jioni x 2.