Ingia / Jisajili

Sala Yangu Ipae

Mtunzi: Leonard Komba
> Tazama Nyimbo nyingine za Leonard Komba

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 20,365 | Umetazamwa mara 35,386

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

(Sala yangu ipae mbele yako Bwana x 2
Kama moshi wa ubani altareni, Na kuinuliwa kwa mikono yangu
Iwe kama masadaka, masadaka ya jioni) x 2

Mashairi:

  1. Ee Bwana tunakutolea sadaka yetu, pamoja na maisha ya kila siku.
  2. Uwe radhi kuipokea sadaka yetu, kama zile za mababu wa zamani.
  3. Hivyo sadaka ifane mbele zako Bwana, na iwe sadaka ya shukrani kubwa.
  4. Nasi utubariki maisha yetu yote, na mwisho utujalie heri yako. 

Maoni - Toa Maoni

damian msoka May 27, 2021
kiukweli wmbo huu hua unanibariki sana hasa ninapoucheza kwa kinanda

Godfrey Cant Nov 25, 2017
Mungu akuongezee maarifa zaidi mwalimu

nicolaus shabate Apr 26, 2017
NEEMA YA BWN WETU YESU KRISTO NA UPENDO WA MUNGU BABA NAMPONGEZA MTUNZ WA WIMBO HUU

nicolaus shabate Apr 26, 2017
wimbo huu inatufundisha kuwa sadaka ni sehemu ya maisha yetu maana kutoa sadaka ni kujiweka hazina mbinguni

mpogole Magreth Lawrence Mar 03, 2017
Wimbo unanibariki sana Mungu akuinue zaidi tupate baraka kila siku za maisha yetu my br God bless uuuu

nicolaus shabate Dec 26, 2016
hongera sana

May 13, 2016
Imetulia sana inaupako hongera nwalimu

Toa Maoni yako hapa