Ingia / Jisajili

Sala Yangu Na Ipae

Mtunzi: SIMON.M.MANDA
> Mfahamu Zaidi SIMON.M.MANDA
> Tazama Nyimbo nyingine za SIMON.M.MANDA

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Arnold Rutaihwa

Umepakuliwa mara 287 | Umetazamwa mara 884

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Sala yangu na ipae, Sala yangu na ipae kama moshi wa ubani, kama moshi wa ubani Ee Bwana X2. 1a)Ee Bwana upokee vipaji vyetu. b)Ee Bwana upokee dhabihu zetu. 2a)Ee Bwana upokee Shukrani zetu. b)Ee Bwana upokee na Sala zetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa