Mtunzi: Ascar Magoma
> Tazama Nyimbo nyingine za Ascar Magoma
Makundi Nyimbo: Misa
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 26,082 | Umetazamwa mara 47,628
Download Nota Download MidiSala yangu na ipae mbele yako (na ipae) kama moshi wa ubani x 2
1. Ee Bwana upokee sadaka yetu, tunayokutolea kama shukrani zetu, Ee Bwana pokea.
2. Ee Bwana upokee dhabihu zetu, tunayokutolea kutoka mashambani, Ee Bwana pokea.
3. Ee Bwana upokee pia nia zetu, tunazokutolea kwa moyo wetu wote, Ee Bwana pokea.