Ingia / Jisajili

Salamu Mama Maria

Mtunzi: Melchoir Kavishe
> Mfahamu Zaidi Melchoir Kavishe
> Tazama Nyimbo nyingine za Melchoir Kavishe

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Melchiori B. Kavishe

Umepakuliwa mara 337 | Umetazamwa mara 1,413

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Salamu Mama, Mama Maria, Umejaa neema. 1. Umebarikiwa kuliko wanawake wote, Salamu Mama Maria. 2. Twakuomba Mama Utuombee Kwa mwanao, Salamu Mama Maria. 3. Mama yetu mwema utujaze baraka zako, Salamu Mama Maria.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa