Mtunzi: Joseph Makoye
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Makoye
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 18,371 | Umetazamwa mara 25,566
Download NotaJOSEPH MAKOYE.
AUG.1986
MZA.
Salamu mama mtakatifu, uliyemzaa mfalme, mwenye kutawala mbingu na dunia daima na milele.X 2
1. Bwana ana fadhili, ni mwingi wa huruma, si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema.
2. Bwana huwahifadhi wote wampendao na wote wasio haki atawaangamiza.